mjue sana mungu ili uwe na amani
Yesu
kristo
Yesu ni kristo hilo
halina ubishi ni vizuri kumfahamu yesu kwa kiwango hiki ili afanyike halisi
katika maisha yako.
Ø Wazungu
wanamwita JESUS wakiwa na maana ya MKOBOZI WA ULIMWENGU ALIYEPAKWA MAFUTA
Ø WAEBRANIA
wanamwita YEHSHUA HAMACHIAC wakiwa na maana ya
ya masihi mpakwa mafuta wa Mungu .
Ø Na
sisi Africa mashariki tunamwita YESU kristo yaani mkombozi wa ulimwengu na mpakwa mafuta wa bwana MUNGU, MKOMBOZI
AICHUKUAE DHAMBI YA ULIMWENGU
BIBLIA ina mthibitisha hivyo kwa namna mbalimbali
katika kuonyesha uweza na nguvu zake pia tutaangalia kwa lugha yetu, Kiswahili kiingereza
na kiebrania ili kuongeza maarifa na kujua jinsi vile mungu alivyo.
1.
ADONAI
Kwa kiebrania ni A-DOH-NIGH
maana yake NIKO
Yohana 8:58
Yesu akawaambia , amini
nawaambia yeye Ibrahim asijakuwapo mimi NIKO
YESU ALIJITAMBULISHA
KUWA YEYE NI NIKO
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia musa
mimi niko ambaye niko akasema ndivyo
utakavyo waambia wana wa izraeli mimi NIKO amenituma kwenu.
Sijui unawaza nini juu
ya bwana . hivi unajua kuwa Mungu yupo amenituma kwako leo nikwambie kwamba
yupo hata kama huamini rafiki yangu Mungu yupo
Mungu akamwambia musa mimi niko ambaye
niko akasema ndivyo utakavyo waambia wana wa izraeli mimi NIKO amenituma
kwenu. Leo anasema na maisha yetu kwamba tujue kwamba yupo
Ø Aliye
sema na musa wakati wan a wa izraeli wapo katika mateso yupo haii je wewe upo
katika mateso na hujui la kufanya ninalo neon la uzima juu yako leo yupo aliye
wakomboa wana wa izraeri na mkono wa farao mtesaji atakuokoa na wewe leo
Ø Aliyesema
na wayahudi mimi ni NIKO Yesu kristo yupo leo atakusaidia kama alivyosaidia
wengi atakusaidia nawewe leo
Omba
NAMI MAOMBI HAYA
BABA
uliyesema na musa kwamba wewe ni NIKO
AMBAYE NIKO Mungu WANGU ADONAI nakushukuru na kukutukuza kwa kuwa wewe
upo niguse na ukomeshe mateso katika maisha yangu ninaamini wewe ndiwe chanzo
cha uzima hakika leo utanipa uzima katika jina la Yesu asante kwa kuwa wasikia
kuomba kwangu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: