NENO LA KRISTO LINA NGUVU KULIKO UPANGA                                               
 
MIMI NA WEWE TUMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU NA KWA NJIA YA KRISTO TUMEFANYIKA WANA WA MUNGU .KUPITIA NENO LA MUNGU NASI TU WANA WA MUNGU  .KAMA MUNGU YESU KRISTO NI UPANGA BASI SISI TUMEZALIWA KUWA MAPANGA VILEVILE.NENO HILI NI ROHO KAMA UNA MASHAKA KAWAULIZE WACHAWI NA MAJINI KAMA UNA USHIRIKA NAO.
MUNGU NI PENDO ANATUPENDA WATU WOTE YEYE ALIYETUUMBA AMETUVIKA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA NA  AMETUTAWADHA JUU YA KAZI YA MIKONO YAKE.NDIO MAANA DAUDI ALISEMA KATIKA ZABURI MWANADAMU NI KITU GANI HATA UMKUMBUKE?
SI KILA MTU KAVISHWA TAJI BALI NI WALE WALIOMPOKEA BWANA YESU KUWA BWANA MWOKOZI WA MAISHA YAO UKIMPA YESU MAISHA YAKO HATA WEWE UTAVAAA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA BADALA YA MAGONJWA AU MATESO ,HAUTATESWA NA NDOA ZA MAJINI WALA NGUVU ZA GIZA
MPE YESU MAISHA YAKO NAWE UTAOKOKA

0 comments: