IBADA YENYE UPAKO MKUBWA YAENDELEA NDANI YA HEMA LA MAAJABU KATIKA KANISA LA GMCL MBEYA
nabii David stephano mpanji ni nabii ambaye amekuwa baraka katika taifa hili la TANZANIA kwa sababu mungu anamtumia kwa viwango visivyo kuwa vya kawaida .nina sema tena amefanyika baraka sana pia katika maisha yangu pia ni baba yangu na kupitia yeye nimejifunza mambo mengi kuhusu nabii naa unabii .pia maarifa ya kinabii yanapofanyakazi na mtu mwenye kipawa cha unabii na huduma ya kinabii kwa mwenye karama ya kinabii kutoka kwa nabii huyu .
nabii ni nabii na ukatae ukubali nabii aliyeitwa kuwa nabii atabaki kuwa nabii
- yesu alipo kufa msalabani alishuka chini kuzimu na kisha akapaa juu sana na akateka vipawa akawapa wanadamu ili kulikamilisha kanisa,kanisa ni mimi na wewe na sio jengo ,jengo ni mwili wako,yesu akatoa wengine ili kwa mitume ,manabii walimu wainjilist na wachungaji
- usikatae manabii kwa sababu wewe ni mchungaji ,au ni mwinjilist fahamu kanisa leo lilipofikia ni muhimu kukubali huduma ya kinabii kwa sababu ni jicho ndani ya kanisa .watu wengi hawajui kuwa nabii kama huduma huangalia mambo yaliyopo,yaliyopita na yatakayokuja kama apendavyo ROHO MTAKATIFU
- LAZIMA TUBADILIKE WAPENDWA DUNIANI KOTE tukubali huduma ya kinabii ,inawezekana upo una shida na antakiwa nabii mwonaji ndipo ufumbuzi utatokea aone nini kilifanyika wakati uliopita ndipo atamke neno la unabii katika maisha yako
- ndoto mbaya
- unafanya mapenzi na mtu usiye mjua usingizin(ndotoni)
- hujapata mtoto kuna ushuhuda wa mama aliyekuwa hana mirija ya uzazi na sasa amepakata anaitwa mama baada ya nabii kutamka neno
- unateswa na wachawi mizimu au kuchanganyikiwa mimi ni shahidi niona vichaa wakipokea uponyaji na kuwa wazima
- una uvimbe ndani njoo katika madhabahu hii ya kinabii YESU atafanya oparesheni na uvimbe utaondoka na kuyeyuka na hautarudi tena
- kwa daresalaam kanisa hili lipo mbezi beach shukia africana elekea (uliza )ubarikiwe waweza panda tax au bodaboda au bajaji shukia forest inn na ukifika hapo ulizza mahali lilipo kanisa ni jirani kabisa utafika
- MOJAWAPO YA IBADA ZA KINABII AMBAPO NABII ALIWAOSHA MIGUU MAELFU YA WAKRISTO NDANI YA JIJI LA MBEYA
KARIBU SANA NDUGU YANGU MUNGU WANGU AKUBARIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: