iIMANI ITENDAYO KAZI
IMANI NINI?
IMANI kutokana na waebrania
11:1 basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ,ni bayana ya mambo
yasiyoonekana.(now faith is the substance of things hoped for ,the evidence of
things not seen)
watu engi wana imani lakini pia watu
wengi wana mashaka na vile wanavyoamini.
mfano ni musa alikuwa na mashaka
hata aliposikia neno la mungu kwamba anapaswa kurudi misri alikokimbia kwa
sababu yakuwasaidia wana wa israeli .mungu alimwambia nenda nitakuwa nawe
lakini yeye alikuwa na sababu nyingi mara" mdomo wangu mzito"
yote hii ilikuwa ni kumfanya mungu aahirishe kumtuma yeye na amtume mwingine lakini bado MUNGU alimtuma musa .
- musa alikuwa na mashaka lakini mungu aliyaondoa kwa kubadilisha fimbo yake kuwa nyoka,inawezekana wewe ni mwombaji na una mashaka ndani yako ni sawa na mlevi wa pombe ambae amejaa makovu ya kuumia bila kupigwa.
- haujanielewa ukiomba huku una mashaka ni sawa na mtu aliyevaaa suti na bukta yenye chawa ,mwenye mashaka anafananana mchawi
mtu mwenyema shaka
na mchawi baba yao mmoja katka kitabu cha waebrania 10;38 lakini
mwenye haki wangu ataishi kwa imani naye akisita sita (MASHAKA) Roho
yangu haina furaha naye(now the just shall live by faith but any
ones draw back my soul has no pleasure on him) mungu alimwambia musa mimi
nitakuwa nawe wewe.
MPENDWA RAFIKI leo hii Mungu yupo pamoja nawe lakini umewahi kujiuliza M ungu yupo nawe katika lipi,hapa si swala la umeokoka lini ?yesu aliulaani mtini kwa sababu haukuzaa matunda na ina wezekana huduma yako imekauka, ndoa imekauka. kazi zimekauka ,pesa zimekauka, na ukristo wako pia umekauka ,kwa saababu wewe una sifa za mtini alioulaani yesu
ufunuo wa yohana 22:1 kisha akanionyesha mto wa uzima wenye kung'aa kama birauli ukitoka katika kiti cha enzi cha Mungu ,na cha mwana kondoo ........
- kama ndani yako kumekauka kama mtini ni wakati wa kumwambia bwana yesu ninatubu kwa kutokuzaa matunda achilia maji ya uzima ndani yangu ili nizae matunda kama una jua kuna vitu ndani yako vimekaukaiwe ni huduma ,ndoa ,kazi yafuatayo ni maombi yatakayo achilia maji ya uzima ndani yako na kukuwezesha kustawi kama apendavyo mungu
- baba yetu uliye mbinguni ninakutukuza katikajina la yesu peke yako nimungu unaestahili kuabudiwa
- nipombele zako kwa jina la yesu ninaomba ninatubu kwa kukuabudu kwa mashaka hali iliyopelekea kukauka ndani yangu katika jina la yesu ondoa kukauka ndani yangu katika nafsi yangu ,roho yangu namwili wangu kwa damu ya yesu
- kwa moto wa Roho mtakatifu navunja kila vizuizi vinavyo fanyanisizae matunda katika jina layesu nakataa leo utasa wa kiroho nakataa leo kushindwakatika maisha yangu na tangaza leo mimi ni mshindi katika jina la yesu
- nakamata nyundo ambayo ni neno la mungu navunja kuta nilizojengewa katika ulumwengu wa roho ,napolomosha kila kilima mbele yangu ,kwa damu ya yesu na futa kila utelezi ambao shetani amenitengenezea kwa siri ili nisizae matunda
- nawakamata maadui kwa minyororo ya chuma na ninawararua kwa upanga wa roho mtakatifu ninawachafulia lugha kila watakapokutana kunijadili na nina tumia upepo wa kisulisuli kuwattawany maadui wote wanao sababisha nisizae matunda pamoja n aroho zote za visasi kutoka kwa shetani kwa moto wa yesu
- nawakamata maadui wote wanaonijia kwa sura za wanyama na miili ya majoka natumia mawe yamoto kuwaangamiza wote iwe ni angani, baharini au nchikavu nawaporomosha wote walionichimbia makaburi na mashimo katika ulimwengu wa roho katika mashimo waliyo yachimba kwa damu ya yesu
- ninajifunika damu ya yesu mimi ni mshindi kwa damu ya yesu tngu leo natbiri juu ya maisha yangu kuwa ntazaa matunda wala hakuna uharibifu kutoka kwa shetani utakaozuia katika jina la yesu amen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: