Latest Videos
mjue sana mungu ili uwe na amani
Yesu
kristo
Yesu ni kristo hilo
halina ubishi ni vizuri kumfahamu yesu kwa kiwango hiki ili afanyike halisi
katika maisha yako.
Ø Wazungu
wanamwita JESUS wakiwa na maana ya MKOBOZI WA ULIMWENGU ALIYEPAKWA MAFUTA
Ø WAEBRANIA
wanamwita YEHSHUA HAMACHIAC wakiwa na maana ya
ya masihi mpakwa mafuta wa Mungu .
Ø Na
sisi Africa mashariki tunamwita YESU kristo yaani mkombozi wa ulimwengu na mpakwa mafuta wa bwana MUNGU, MKOMBOZI
AICHUKUAE DHAMBI YA ULIMWENGU
BIBLIA ina mthibitisha hivyo kwa namna mbalimbali
katika kuonyesha uweza na nguvu zake pia tutaangalia kwa lugha yetu, Kiswahili kiingereza
na kiebrania ili kuongeza maarifa na kujua jinsi vile mungu alivyo.
1.
ADONAI
Kwa kiebrania ni A-DOH-NIGH
maana yake NIKO
Yohana 8:58
Yesu akawaambia , amini
nawaambia yeye Ibrahim asijakuwapo mimi NIKO
YESU ALIJITAMBULISHA
KUWA YEYE NI NIKO
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia musa
mimi niko ambaye niko akasema ndivyo
utakavyo waambia wana wa izraeli mimi NIKO amenituma kwenu.
Sijui unawaza nini juu
ya bwana . hivi unajua kuwa Mungu yupo amenituma kwako leo nikwambie kwamba
yupo hata kama huamini rafiki yangu Mungu yupo
Mungu akamwambia musa mimi niko ambaye
niko akasema ndivyo utakavyo waambia wana wa izraeli mimi NIKO amenituma
kwenu. Leo anasema na maisha yetu kwamba tujue kwamba yupo
Ø Aliye
sema na musa wakati wan a wa izraeli wapo katika mateso yupo haii je wewe upo
katika mateso na hujui la kufanya ninalo neon la uzima juu yako leo yupo aliye
wakomboa wana wa izraeri na mkono wa farao mtesaji atakuokoa na wewe leo
Ø Aliyesema
na wayahudi mimi ni NIKO Yesu kristo yupo leo atakusaidia kama alivyosaidia
wengi atakusaidia nawewe leo
Omba
NAMI MAOMBI HAYA
BABA
uliyesema na musa kwamba wewe ni NIKO
AMBAYE NIKO Mungu WANGU ADONAI nakushukuru na kukutukuza kwa kuwa wewe
upo niguse na ukomeshe mateso katika maisha yangu ninaamini wewe ndiwe chanzo
cha uzima hakika leo utanipa uzima katika jina la Yesu asante kwa kuwa wasikia
kuomba kwangu.
NENO LA KRISTO LINA NGUVU KULIKO UPANGA
MIMI NA WEWE TUMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU NA KWA NJIA YA KRISTO TUMEFANYIKA WANA WA MUNGU .KUPITIA NENO LA MUNGU NASI TU WANA WA MUNGU .KAMA MUNGU YESU KRISTO NI UPANGA BASI SISI TUMEZALIWA KUWA MAPANGA VILEVILE.NENO HILI NI ROHO KAMA UNA MASHAKA KAWAULIZE WACHAWI NA MAJINI KAMA UNA USHIRIKA NAO.
MUNGU NI PENDO ANATUPENDA WATU WOTE YEYE ALIYETUUMBA AMETUVIKA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA NA AMETUTAWADHA JUU YA KAZI YA MIKONO YAKE.NDIO MAANA DAUDI ALISEMA KATIKA ZABURI MWANADAMU NI KITU GANI HATA UMKUMBUKE?
SI KILA MTU KAVISHWA TAJI BALI NI WALE WALIOMPOKEA BWANA YESU KUWA BWANA MWOKOZI WA MAISHA YAO UKIMPA YESU MAISHA YAKO HATA WEWE UTAVAAA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA BADALA YA MAGONJWA AU MATESO ,HAUTATESWA NA NDOA ZA MAJINI WALA NGUVU ZA GIZA
MPE YESU MAISHA YAKO NAWE UTAOKOKA
MIMI NA WEWE TUMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU NA KWA NJIA YA KRISTO TUMEFANYIKA WANA WA MUNGU .KUPITIA NENO LA MUNGU NASI TU WANA WA MUNGU .KAMA MUNGU YESU KRISTO NI UPANGA BASI SISI TUMEZALIWA KUWA MAPANGA VILEVILE.NENO HILI NI ROHO KAMA UNA MASHAKA KAWAULIZE WACHAWI NA MAJINI KAMA UNA USHIRIKA NAO.
MUNGU NI PENDO ANATUPENDA WATU WOTE YEYE ALIYETUUMBA AMETUVIKA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA NA AMETUTAWADHA JUU YA KAZI YA MIKONO YAKE.NDIO MAANA DAUDI ALISEMA KATIKA ZABURI MWANADAMU NI KITU GANI HATA UMKUMBUKE?
SI KILA MTU KAVISHWA TAJI BALI NI WALE WALIOMPOKEA BWANA YESU KUWA BWANA MWOKOZI WA MAISHA YAO UKIMPA YESU MAISHA YAKO HATA WEWE UTAVAAA TAJI YA UTUKUFU NA HESHIMA BADALA YA MAGONJWA AU MATESO ,HAUTATESWA NA NDOA ZA MAJINI WALA NGUVU ZA GIZA
MPE YESU MAISHA YAKO NAWE UTAOKOKA
BAHATI NDANI YA MADHABAHU YA KINABII KANISA LA GOSPEL MIRACLE CHURCH FOR ALL PEOPLE JIJINI MBEYA
BAHATI BUKUKU AFANYA MAAJABU NDANI YA KANISA LA GMCL MBEYAMtumishi wa mungu anayemtumikia mungu kwa njia ya uimbaji,Bahati Bukuku ameacha historia ya kukumbukwa na watu wengi.Mtumishi huyo wa mungu ambaye alisifu mpaka waumini wa kanisa hilo la gmcl church ambalo linaongozwa na mtumishi wa mungu Nabii na Mtume David s.Mpanji,kutotaka Bahati Bukuku kuondoka ambapo mtumishi huyo aliahidi kurudi tena mwezi wa nane ambapo kutakuwa na tamasha kubwa ambalo linaandaliwa na kanisa hilo la GMCL.Ambapo tamasha hilo litahusisha waimbaji mablimbali wa nyimbo za injili kutoka tanzania na nje ya tanzania
IBADA YENYE UPAKO MKUBWA YAENDELEA NDANI YA HEMA LA MAAJABU KATIKA KANISA LA GMCL MBEYA
nabii David stephano mpanji ni nabii ambaye amekuwa baraka katika taifa hili la TANZANIA kwa sababu mungu anamtumia kwa viwango visivyo kuwa vya kawaida .nina sema tena amefanyika baraka sana pia katika maisha yangu pia ni baba yangu na kupitia yeye nimejifunza mambo mengi kuhusu nabii naa unabii .pia maarifa ya kinabii yanapofanyakazi na mtu mwenye kipawa cha unabii na huduma ya kinabii kwa mwenye karama ya kinabii kutoka kwa nabii huyu .
nabii ni nabii na ukatae ukubali nabii aliyeitwa kuwa nabii atabaki kuwa nabii
- yesu alipo kufa msalabani alishuka chini kuzimu na kisha akapaa juu sana na akateka vipawa akawapa wanadamu ili kulikamilisha kanisa,kanisa ni mimi na wewe na sio jengo ,jengo ni mwili wako,yesu akatoa wengine ili kwa mitume ,manabii walimu wainjilist na wachungaji
- usikatae manabii kwa sababu wewe ni mchungaji ,au ni mwinjilist fahamu kanisa leo lilipofikia ni muhimu kukubali huduma ya kinabii kwa sababu ni jicho ndani ya kanisa .watu wengi hawajui kuwa nabii kama huduma huangalia mambo yaliyopo,yaliyopita na yatakayokuja kama apendavyo ROHO MTAKATIFU
- LAZIMA TUBADILIKE WAPENDWA DUNIANI KOTE tukubali huduma ya kinabii ,inawezekana upo una shida na antakiwa nabii mwonaji ndipo ufumbuzi utatokea aone nini kilifanyika wakati uliopita ndipo atamke neno la unabii katika maisha yako
- ndoto mbaya
- unafanya mapenzi na mtu usiye mjua usingizin(ndotoni)
- hujapata mtoto kuna ushuhuda wa mama aliyekuwa hana mirija ya uzazi na sasa amepakata anaitwa mama baada ya nabii kutamka neno
- unateswa na wachawi mizimu au kuchanganyikiwa mimi ni shahidi niona vichaa wakipokea uponyaji na kuwa wazima
- una uvimbe ndani njoo katika madhabahu hii ya kinabii YESU atafanya oparesheni na uvimbe utaondoka na kuyeyuka na hautarudi tena
- kwa daresalaam kanisa hili lipo mbezi beach shukia africana elekea (uliza )ubarikiwe waweza panda tax au bodaboda au bajaji shukia forest inn na ukifika hapo ulizza mahali lilipo kanisa ni jirani kabisa utafika
- MOJAWAPO YA IBADA ZA KINABII AMBAPO NABII ALIWAOSHA MIGUU MAELFU YA WAKRISTO NDANI YA JIJI LA MBEYA
KARIBU SANA NDUGU YANGU MUNGU WANGU AKUBARIKI
iIMANI ITENDAYO KAZI
IMANI NINI?
IMANI kutokana na waebrania
11:1 basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ,ni bayana ya mambo
yasiyoonekana.(now faith is the substance of things hoped for ,the evidence of
things not seen)
watu engi wana imani lakini pia watu
wengi wana mashaka na vile wanavyoamini.
mfano ni musa alikuwa na mashaka
hata aliposikia neno la mungu kwamba anapaswa kurudi misri alikokimbia kwa
sababu yakuwasaidia wana wa israeli .mungu alimwambia nenda nitakuwa nawe
lakini yeye alikuwa na sababu nyingi mara" mdomo wangu mzito"
yote hii ilikuwa ni kumfanya mungu aahirishe kumtuma yeye na amtume mwingine lakini bado MUNGU alimtuma musa .
- musa alikuwa na mashaka lakini mungu aliyaondoa kwa kubadilisha fimbo yake kuwa nyoka,inawezekana wewe ni mwombaji na una mashaka ndani yako ni sawa na mlevi wa pombe ambae amejaa makovu ya kuumia bila kupigwa.
- haujanielewa ukiomba huku una mashaka ni sawa na mtu aliyevaaa suti na bukta yenye chawa ,mwenye mashaka anafananana mchawi
mtu mwenyema shaka
na mchawi baba yao mmoja katka kitabu cha waebrania 10;38 lakini
mwenye haki wangu ataishi kwa imani naye akisita sita (MASHAKA) Roho
yangu haina furaha naye(now the just shall live by faith but any
ones draw back my soul has no pleasure on him) mungu alimwambia musa mimi
nitakuwa nawe wewe.
MPENDWA RAFIKI leo hii Mungu yupo pamoja nawe lakini umewahi kujiuliza M ungu yupo nawe katika lipi,hapa si swala la umeokoka lini ?yesu aliulaani mtini kwa sababu haukuzaa matunda na ina wezekana huduma yako imekauka, ndoa imekauka. kazi zimekauka ,pesa zimekauka, na ukristo wako pia umekauka ,kwa saababu wewe una sifa za mtini alioulaani yesu
ufunuo wa yohana 22:1 kisha akanionyesha mto wa uzima wenye kung'aa kama birauli ukitoka katika kiti cha enzi cha Mungu ,na cha mwana kondoo ........
- kama ndani yako kumekauka kama mtini ni wakati wa kumwambia bwana yesu ninatubu kwa kutokuzaa matunda achilia maji ya uzima ndani yangu ili nizae matunda kama una jua kuna vitu ndani yako vimekaukaiwe ni huduma ,ndoa ,kazi yafuatayo ni maombi yatakayo achilia maji ya uzima ndani yako na kukuwezesha kustawi kama apendavyo mungu
- baba yetu uliye mbinguni ninakutukuza katikajina la yesu peke yako nimungu unaestahili kuabudiwa
- nipombele zako kwa jina la yesu ninaomba ninatubu kwa kukuabudu kwa mashaka hali iliyopelekea kukauka ndani yangu katika jina la yesu ondoa kukauka ndani yangu katika nafsi yangu ,roho yangu namwili wangu kwa damu ya yesu
- kwa moto wa Roho mtakatifu navunja kila vizuizi vinavyo fanyanisizae matunda katika jina layesu nakataa leo utasa wa kiroho nakataa leo kushindwakatika maisha yangu na tangaza leo mimi ni mshindi katika jina la yesu
- nakamata nyundo ambayo ni neno la mungu navunja kuta nilizojengewa katika ulumwengu wa roho ,napolomosha kila kilima mbele yangu ,kwa damu ya yesu na futa kila utelezi ambao shetani amenitengenezea kwa siri ili nisizae matunda
- nawakamata maadui kwa minyororo ya chuma na ninawararua kwa upanga wa roho mtakatifu ninawachafulia lugha kila watakapokutana kunijadili na nina tumia upepo wa kisulisuli kuwattawany maadui wote wanao sababisha nisizae matunda pamoja n aroho zote za visasi kutoka kwa shetani kwa moto wa yesu
- nawakamata maadui wote wanaonijia kwa sura za wanyama na miili ya majoka natumia mawe yamoto kuwaangamiza wote iwe ni angani, baharini au nchikavu nawaporomosha wote walionichimbia makaburi na mashimo katika ulimwengu wa roho katika mashimo waliyo yachimba kwa damu ya yesu
- ninajifunika damu ya yesu mimi ni mshindi kwa damu ya yesu tngu leo natbiri juu ya maisha yangu kuwa ntazaa matunda wala hakuna uharibifu kutoka kwa shetani utakaozuia katika jina la yesu amen
ROHO MTAKATIFU NI MUNGU ANAEISHI
www.wokovukwawote.blogspot.com |
Utangulizi
Ezekieli 36:27 “nami nitatia roho yangu ndani yenu na kuwaendesha katika sheria zangu nanyi mtazishika hukumu zangu na kuzitenda” maneno
haya anayasema MUNGU kupitia kinywa cha nabii ezekieli na katika
kumbukumbu la torati anasema hivi Kumbukumbu la torati 4:6 anasema “sikiza ee
izraeli ;Bwana, Mungu wetu,Bwana ndiye mmoja”MUNGU ni mmoja anaposema
nitatia roho yangu ndani yenu (yetu) maana yake Mungu kuja kukaa ndani yetu kupitia ROHO
MTAKATIFU,biblia katika ule waraka kwanza wa yohana 4:8-9
anasema “kwa maana wako watatu washuhudiao[mbinguni Baba,na Neno,na Roho
mtakatifu na hawa watatu ni umoja .9kisha wako watatu washuhudiao
duniani]Roho,na maji,na damu;na hawa hupatana kwa habari moja.tukipokea
ushuhuda wa wanadamu ,ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi;kwa maana ushuhuda wa
Mungu ndio huu ,amemshuhudia mwanawe.mungu mmoja aliye ziumba mbingu na
nchi yeye mungu na roho mtakatifu na Neno(Yesu) mbinguni ni umoja na duniani
wako watatu wanaopatana kwa habari mmoja.
Watatu duniani biblia inasema ni
Roho Mtakatifu(mungu pamoja nasi),Maji,
na Damu.Kwa habari ya maji biblia inasema hivi “ezekieli 36:25 nami
nitawanyunyizia maji safi,nanyi mtakuwa safi;nitawatakaseni na uchafu wenu
wote,na vinyago vyenu vyote” anaeleza habari ya utakaso. Damu yaYESU ndio ukombozi na upatanisho wetu ili tumwone
Mungu.
Mungu ni mmoja na amejifunua
kwetu kwa namna ya nafsi tatu
i.
Mungu baba “atawalae yote”
ii.
Mungu mwana “ambae vyote katika yeye viliumbwa”
iii.
Mungu roho mtakatifu “aangaliae yote”
MUNGU BABA
Mungu baba ndie aliyeumba vitu
vyote vinavyoonekana na visivyoonekana hakuna ubishi ndie mtawala wa vitu vyote
vinavyoonekana na visivyoonekanavimeumbwa na yeye. Tazama kitabu cha nabii
isaya 48:12-13 anasema “nisikilize mimi ee yakobo na izraeli niliyekuita mimi ndiye wa kwanza na mimi ni
wa mwisho pia naam,mkono wangu umeiweka msingi wa dunia na mkono wangu wa kuume
umezitanda mbingu ;niziitapo husimama pamoja”
MUNGU MWANA (YESU) AMBAYE VYOTE
KATIKA YEYE VILIUMBWA
Waebrania 1:1-3 neno la
mungu linasema “mungu baba ambaye zamani alisema zamani na baba zetu kwa sehemu nyingi
na kwa njia nyingi mwisho wa siku hizi amesema nasi katika mwana ,aliyemweka
kuwa mrithi wa yote tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.yeye kwa kuwa mng’ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi
yake,akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake
akiisha kufanya utakaso wa dhambi aliketi mkono wa kuume wa ukuu huko
juu”
Pia katika waraka wa pili wa
mtume Paulo kwa wakoritho anasema 2wakoritho5:19 anasema “yaani
mungu alikuwa ndani ya kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi
yake,asiwahesabie makosanae ametia ndani yetu neno la upatanisho”.
YESU ni mungu kukosa kufahamu
hilo ni kosa kwa sababu mungu alimtuma
mwana wake yesu kwa sababu alikuwa ndani yake kwa ROHO MTAKATIFU akiupatanisha
ulimwengu na nafsi yake.
v ROHO
MTAKATIFU ndiye aliyekuwa ndani ya Yesu akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake
Luka mtakatifu anasema luka 1:35
“malaika kajibu akamwambia Roho mtakatifu atakujilia juu yako na nguvu zake
aliye juu zitakufunika kama kivuli kwa sababu hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu
MWANA WA MUNGU”Maneno haya aliyasema malaika Gabrieli alipokuwa akimweleza mariamu juu ya kuzaliwa
Yesu na matokeo yake ilikuwa hivi “mathayo1:18 “kabla hawajakaribiana
alionekana ana mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu”. Mwana wa mungu yesu ni mungu na katika kitabu
cha waebrania anasema waebrania 1:8 “lakini kwa habari ya mwana
asema kiti chako cha enzi Mungu ni cha milele na fimbo ya ufalme wako ni fimbo
ya adili”
Si wanadamu tu waliokili kuwa
yesu ni mungu bali hata malaika waliotumwa na mungu walikiri kuwa yesu ni mungu
“luka
1:32-33 huyo atakuwa mkuu ataitwa mwana wa aliye juu,Bwana Mungu atampa kiti
cha enzi cha Daudi baba yake.ataimiliki nyumba ya yakobo milele, na ufalme wake
utakuwa hauna mwisho” na tunajua
ufalme wa mungu pekee ndio hauna mwisho na kupitia Yesu atamiliki nyumba ya
yakobo milele na milele.twaweza sema kwamba ufalme wake hauna mwisho kwa sababu
yeye ni mungu wa milele.
Umewahi kujiuliza namna ambavyo
YESU alijitambulisha kwa wanafunzi wake pale walipokuwa na mashaka naye yohana
14:9 “Yesu akamwambia mimi nimekuwaapo pamoja nanyi siku zote wewe usinijue
Filipo?aliye niona mimi amemwona baba basi wewe wasemaje utuonyeshe baba”
MUNGU
ROHO MTAKATIFU
Ni Mungu aangaliae yote zaburi
139:7 inasema “niende wapi njiepushe na Roho yako,Niende wapi niukimbie uso wako”
Ni maombi yangu zaburi 51:11-12 inayosema “usinitenge na uso
wako wala Roho yako mtakatifu usiniondolee unirudishie furaha ya wokovu wako
,unitegemeze kwa Roho ya wepesi wako” yatimie kwako.
Ø
Inawezekana moyoni mwako upo uchungu, magonjwa
yanakusumbua,unateswa na majini wachawi mapepo na mizimu huoni kimbilio ila
waganga wa kienyeji ,unateswa na ndoto mbaya.
Ø
Upo hapo na inawezekana hujawahi msimulia mtu
mwingine yeyote namna unavyoingiliwa na mtu katika ndoto(anafanya mapenzi nawe
kwenye ndoto) na hiyo hali huipendi ila huelewi ufanye nini.
Ø
Kila unalofanya halifanikiwi hamna mpenyo kila
kitu unachokifanya hata kama waona ni chema lakini mwishowe kuishia kukataliwa Jewewe una roho za kukataliwa?je unateswa na ukichaaa,au ukimwi.
Ø
Huna mtoto madaktari hawaoni tatizo la wewe
kukosa mtoto umeitwa tasa muda mrefu.
Ø
Unauvimbe ndani yako umeleta mateso, vituvinatembea ndani yako magonjwa ya mara kwa
mara tena yanayofanana na hayo
Ø
Inawezekana umetafuta kufanya urafiki na majini
hata kwa kulala makaburini,umevishwa kila aina ya uchafu,kuna wakati umekula
vitu ambavyo kwa hali ya kawaida huwezi kula, umeoga maji ya baharini
usiku,umeoga njia panda usiku,umeoga maji ya maiti usiku lakini bado mateso
yameendelea
Inawezekana kuna mambo mengi
ambayo unayapitia na yameachia maumivu ndani yako mpaka kuna wakati umeona
waganga wa kienyeji ndio kimbilio lakini mateso yameongezeka maradufu waganga wa kienyeji hawana majibu wala
wachawi hawawezi kukusaidia LEO NINALO NENO JEMA KWA AJILI YAKO waliloshindwa
wanadamu yupo MUNGU ANAEWEZA KUKUSAIDIA UKATOKA KATIKA HIYO SHIDA ULIYO NAYO NI
YESU PEKE YAKE AWEZA KUKUSAIDIA.
Yesu alipokuja duniani na
alipokuwa anaanza kazi siku moja alijitambulisha hivi ili kujithibitisha naam
kwa ajili ya hayo mateso unayopitia yesu alikuja kuyaondoa.luka4:16-19 “akaenda nazareti
hapo alipolelewa;nasiku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake ,akasimama
asome.akapewa chuo cha nabii isaya ,akakifungua chuo,akatafuta mahali
palipoandikwa.Roho wa bwana yu juu yangu kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri
maskini habari njema ,amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,na
vipofu kupata kuona tena,kuwaacha huru waliosetwa na kutangaza mwaka wa bwana
uliokubaliwa”
Roho mtakatifu alidhihirishwa
kukomesha mateso unayopitia tena bure haulipii anachotaka kwako wewe ni KUACHA DHAMBI NA KUMWAMINI YESU KRISTO.
BIBLIA INATUMIA MAJINA MENGI KUMTAJA
ROHO MTAKATIFU
Majina yake mengi yameeleza namna
anavyofanya kazi katikati yetu mfano wa majina hayo ni
v ROHO
YA HEKIMA NA UFAHAMU ,ROHO YA SHAURI NA UWEZA,ROHO YA MAARIFA NA KUMCHA BWANA
Maisha ya mtu wa mungu kuwa na
hekima na ufahamu kuhusu mungu hutoka
kwa mungu, iwe ni shauri(kusudi) na uweza katika kuuthibitisha lile shauri
hutoka kwa mungu ndio maana tunasema Mungu wetu anaweza.wakristo bila maarifa
kuna uangamizo na nimungu pekee ndiye atupae maarifa na ile hali ya kumhofu(kumcha)
Mungu. Kupitia Mungu roho mtakatifu yote haya yamewezekana kuachiliwa ndani
yetu(wanadamu)
Maandiko katika biblia
yanathibitisha haya haya niliyosema hapo juu tazama “kutoka31:2-3angalia nimemwita kwa
jina lake bezaleli mwana wa uri,mwana wa huri wa kabila la yuda. Name nimejaza
roho ya Mungu ,katika hekima,na maarifa na ujuzi ,na mambo ya kazi ya kila
aina”
Angalia tena kwa habari akina
danieli na wenzake.danieli1:17 “basi kwa habari ya hao vijana wanne,Mungu aliwapa maarifa
na ujuzi katika elimu na hekima ;danieli alikuwa na fahamu katika maono yote na
ndoto”
Inawezekana wewe
pia ukatamani kuwa na maarifa,hekima ufahamu mwombe mungu ametoa kibali cha
kumwomba nae atakupa sawasawa uhitaji wako yakobo1:5-6 anasema mtu wa kwenu
akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa mungu awapae wote kwa ukarimu ,wala
hakemei ;naye atapewa ila na aombe kwa imani ,pasipo shaka yo yote;maana mwenye
shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo ,na kupeperushwa huku na
huku.”
Mungu
aliyeziumba mbingu na nchi na akujibu sawasawa na vilevile alivyoachilia ndani
ya yesu sawasawa na ukarimu wake wote na iwe kwako sawasawa na isaya 11:2
katika jina la yesu upokee unayohitaji
“Isaya11:2
naroho wa bwana atakaa juu yake ,roho ya hekima na ufahamu ,roho ya shauri na uweza
,roho ya maarifa na kumcha bwana”
v
ROHO WA KWELI
“Yohana
14:17 ndiye Roho wa kweli ambae ulimwengu hauwezi kumpokea kwa kuwa haumwoni wala haumtambui maana
anakaa kwenu naye atakuwa ndani yenu”
v
ROHO MTAKATIFU KAMA MSAIDIZI KUTOKA MBINGUNI
Yohana
14:26 “lakini huyo msaidizi,huyo Roho Mtakatifu ambaye baba atampeleka kwa jina
langu atawafundisha na kuwakumbusha yote niliyowaambia”.
Mungu
alipochukua mwili tukamwelewa zaidi yesu
kristo alisema mimi na baba tu umoja (yohana 1:1)inaeleza yesu alikuwepo tangu
mwanzo na katika yeye vitu vyote
viliumbwa na 1wakoritho 1:17yesu ni
mojawapo ya nafsi ya mungu
Bwana
yesu aliwaeleza wanafunzi wake habari ya uttendaji wa RohoMtakatifu kwamba
ameeandaa habari zijazo ameeandaa na
atatuletea habari kutoka kwa mungu na atamtukuza Bwana Yesu kwa sababu ni umoja na pamoja wanatenda
kazi kwa umoja.
Pia Roho Mtakatifu atashuhudia kwa habari ya
dhambi haki na hukumu .kwa habari ya dhambi ni kwa sababu ya kutomwamini yesu
kristo kama mwana wa mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu kwa ajili ya ukombozi
wa watu wote.kwa habari ya haki kwa sababu yesu amepaa mbinguni na kwa habari ya hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu
huu amekwisha kuhukumiwa.
Matendo
ya mitume 1:8 bwana yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa “mtapokea nguvu akiisha kuwajilia
Roho Mtakatifu nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika yerusalemu na katika
uyahudi wote na samaria na hata mwisho wan chi”
Tangu
siku za yohana ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu tena nguvu za rohoni
(nguvu za ROHO mtakatifu) unapomwamini Yesu Roho Mtakatifu
- RAFIKI MUNGU NI PENDO ANAKUPENDA SANA TUBU DHAMBI ZAKO ZOTE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUSAMEHE INAWEZEKANA UNATAMANI KUPATA KIPAWA HIKI CHA ROHO MTAKATIFU LEO NI SIKU YAKO NA NI KUSUDI LA MUNGU WEWE UPOKEE UZIMA TENA UDUMUO MILELE
- WAWAWEZA KUFUATISHA MANENO HAYA YAFUATAYO KWA KUTAMKA AMBAYO NI MAOMBI KWA AJILI YA TOBA NA UZIMA WA MILELE
MAOMBI YA REHEMA NA TOBA
SEMA ;
BWANA YESU MIMI NI MWENYE DHAMBI NAKUJA LEO MBELE ZAKO WEWE MUNGU WANGU NATUBU DHAMBI ZANGU LEO, NILIZOFANYA KWA KUWAZA KUTENDA KWA KUKUSUDIA NA KUTOKUKUSUDIA NINAOMBA UNISAMEHE NA UNISAFISHE ROHO YANGU,NAFSI YANGU NA MWILI WANGU KWA DAMU YAKO
FUTA JINA LANGU KWENYE KITABU CHA HUKUMU NA ANDIKA JINA LANGU KWENYE KITABU CHA UZIMA,TANGU SIKU YA LEO NIONGOZE TAWALA MOYO WANGU ,UFAHAMU WANGU NA KILA NIKIFANYACHO NIONGOZE KATIKA UPYA WA MAISHA KWA ROHO WAKO MTAKATIFU .TANGU LEO MIMI NI MTOTO WA MUNGU NILIYEZALIWA KATIKA MUNGU KWA UWEZO WA ROHO MTAKATIFU TANGU LEO NIMEOKOKA
- YAWEZEKANA MAHALI ULIPO UNATESWA NA NGUVU ZA GIZA ,MAGONJWA ,UTASA,NDOTO MBAYA ,HUZUNI NA UCHUNGU MOYONI,MOYO UNAUMA AU UNA UVIMBE TUMBONI MWAKO,HAUFANIKIWI ,WATOTO WAKO WAMEKUWA MWIBA KWAKO,NDOA YAKO IMEKUWA MWIBA KWAKO,UNATESWA NA NGUVU ZA KICHAWI AU MAJINI NA MAPEPO,UNATESWA NA MIZIMU,UNA UKIMWI ,HUONI SIKU ZAKO(WANAWAKE)UNAUMWA MADAKTARI HAWAONI UGONJWA NDANI YAKO, LEO NI SIKU YAKO YA KUPOKEA MUUJIZA WAKO
- WAWEZA KUFUATISHA KWA SAUTI NDOGO HUKU IMANI YAKO UKIELEKEZA KWA MUNGU JEHOVA MPONYAJI YEYE NI BABA TENA NI MUNGU WA WOTE WALIO NA MWILI WEKA MKONO WAKO WA KULIA KIFUANI MWAKO KISHA OMBA MAOMBI HAYO HAPO CHINI NA MUNGU WANGU ATAACHILIA UZIMA NDANI YAKO LEO.
- MAOMBI YA UPONYAJI
- BWANAYESU NINAKUTUKUZA NA KUKU TUKUZA WEWE NI MPONYAJI TENA NI MUNGU MWENYE NGUVU BABA KATIKA JINA LA YESU NINAOMBA UNIPONYE...........(TAJA UNACHOUMWA)
- .NINAKATAA LEOMATESO YA MAJINI,UCHAWI,MAPEPO NA KILA AINA YA MATESO NINAKUAMURU SHETANI ACHILIA NYOTA YANGU,ACHILIA UCHUMI WANGU ACHILIA AFYA YANGU ACHILIA ACHILIA NDOA YANGU ACHILIA MAISHA YANGU,TOWEKA KWA JINA LA YESU UTASA MAGONJWA NA LAANA KATIKA MAISHA YANGU
- NATUMIA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KUTEKETEZA KILA AINA YA NGUVU ZA GIZA ZILIZOJIPANGA KUNIVAMIA KATIKA JINA LA YESU
- KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE KWA JINA LA YESU NATANGAZA UZIMA NDANI YANGU MIMI NIPOHURU KWA JINA LA YESU,MIMI NI MZIMA NAKUTUKUZA BWANA YESU KWA KUNIPONYA KATIKA JINA LA YESU
- UMESAMEHEWA NDUGU YANGU TANGU LEO WEWE NI MWANA WA MUNGU WAWEZA TAFUTA KANISA LILILO KARIBU NA MAZINGIRA YAKO NENDA KAWAELEZE KUWA UMEOKOKA KUPITIA BLOG HII MUNGU WANGU NA AKUBARIKI
- JE KUNA KITU MUNGU AMEFANYA KWAKO KUPITIA SOMO HILI USIACHE KUSHUHUDIA KATIKA SANDUKUHILO HAPO CHINI WEKA KOMENT YAKO PIA WATUMIE RAFIKI ZAKO UWAPENDAO MAANA HIZI NYAKATI ZA WOKOVU KWA WOTE
- KUNIANDIKIA KATIKA EMAIL HII
Subscribe to:
Posts (Atom)